Wageni wengine noma.
Mwenyeji: Utakunywa soda au chai?
Mgeni: Ntakunywa soda wakati nasubiri chai
ichemke!
Mwenyeji: Hapa kuna Sprite na Coca nikupe ipi?
Mgeni: Nipe Coca Sprite niwekee kwenye friji
iendelee kupoa.
Mwenyeji: Nikupe mkate au maandazi?
Mgeni: Nipe maandazi kwanza mkate ntakula na
chai ikichemka.
ILIPOFIKA JIONI
Mwenyeji: Nkuandalie chips mayai au kuku?
Mgeni: Niandalie chips kuku kwanza, mayai
naomba unichemshie 10 tu ili nishushie na ile
sprite.