Wageni wengine bhana...

Wageni wengine bhana...

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
Wageni wengine noma.

CHEKI HIII...

MWENYEJI; Utakunywa soda au chai?
MGENI; Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
MWENYEJI; Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
MGENI; Nipe coca, hiyo sprite utaniwekea kwenye friji!
MWENYEJI; Unapenda mikate au maandazi?
MGENI; Nipe maandazi kwanza, mikate ntakula na chai.

Ilipofika jioni.....

MWENYEJI; Nikuandalie wali nyama au wali samaki?
MGENI; Niandalie wali nyama, ntakunywa na ile sprite, ila unifungie hizo samaki ntaondoka nazo...!!!!!!
 
ndio maana mi hua nauliza
unatumia kinywaji gani?
chakula atakula nachokula mm ebooo
 
Wageni wengine noma.

CHEKI HIII...

MWENYEJI; Utakunywa soda au chai?
MGENI; Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
MWENYEJI; Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
MGENI; Nipe coca, hiyo sprite utaniwekea kwenye friji!
MWENYEJI; Unapenda mikate au maandazi?
MGENI; Nipe maandazi kwanza, mikate ntakula na chai.

Ilipofika jioni.....

MWENYEJI; Nikuandalie wali nyama au wali samaki?
MGENI; Niandalie wali nyama, ntakunywa na ile sprite, ila unifungie hizo samaki ntaondoka nazo...!!!!!!

Nimecheka sana....
 
Basi mi juzi tuna kuna mgeni tena sio ndugu alikuwa jirani yetu kaja Home kazi kuagiza Dada ntapata chai Dada kuna maziwa yani nasikia kichefu chefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom