Wageni wengine bhana ni kero tupuu!

Wageni wengine bhana ni kero tupuu!

Ungemuambia haya yote halafu ndio uje uanzishe thread lingekua jambo la busara zaidi, wanasema hospitality starts at home.
 
Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia kuwa kati ya vitu vitakavyonifanya nioe mapema ni kutandika kitanda na kuosha vyombo...kwake hivyo ni kero tosha na ameshaoa.
 
Ukitaka kuwa huru muite ongea nae vizuri aelewe majukumu yake. Kweli vinakera sana sana.. Mwambie ukweli tu hapo ni kwako
 
Habari wana JF.

Kuna usemi usemeo "mgeni njoo mwenyeji apone" lakini kuna baadhi ya wagen sio wote ukiwakalibisha home inakua ni kelo mpaka unatamani siku za kuondoka zifike asepe zake.

Kuna baadhi ya wageni tunaowakaribsha majumbani kwetu au gheto kwa sisi vijana kusema kweli ni wavivu alafu wachafu yaani unakuta mtu analala alafu akiamka hata kutandika kitanda anashindwa. We unaamka unamwacha bado kalala alafu anaacha kitanda hivyo hivyo we ndo unakuja kutandka alafu hata haya hana.

Pili hata vyombo mlivyolia chakula anashindwa hata kuvisuuza yeye bngwa wa kuamka na kucheki tv alafu unarudi toka may be kazini unakuta ndio hana mpango wa kuwasha hata jiko alafu sasa ye ndani ndio anakuwa bingwa wa kujua kila kitu mara utaona yeye ndio bngwa wa kubadili channel kwenye tv, bngwa wa kupakua wa kwanza msosi ukiwa tiyari, bingwa wa kubadili cd yaani utadhani yeye ndio mwenye nyumba yaani mpaka kero.


aaaah man umeamua kunitolea uvivu c ungeniambia tu live.
 
Kelo = kero
Alafu = halafu

Mgeni wako umezoeana nae kiasi gani?
Ulimwonyesha jikoni na unapohifadhi chakula ili aweze kupika?
Mchana hali au unamwachia kiporo
Ulimpa a, b, c za nyumba yako?

Na kama ulimpa hazifuati mbona simple, unaamua kuharibu bajeti yako ya wiki kwa kula hoteli/mama ntilie uone kama hatopika mwenyewe....
 
Pia kwa kawaida mgeni unatakiwa kukaa SIKU 3 ukizidisha hapo yatayokupa utakuwa umeyataka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom