Wageni watata!

Wapo wanaokuja baadae Wanageuka Mzigo kwako yaani Macho yote kwako
 
Sasa kama mtu ana nguo zake huko ndani??? Mmhh ama kweli Hali ngumu imewafanya watu wawe wachoyo

Sio wachoyo mjini watu wanaishi kwa budget ukija unasema kabisa utakaa mda gani si kuvamia tu kwa watu afu huondoki hizo nguo watazifataga siku nyingine
 
Kukaa kwa watu ni shida tu,mi nilikuwa nakaa na ndugu yangu muda mwingi na nilikuwa naishi kama kwangu yaan,mpaka nilipohama lakin wengine kaa hata wiki uonee sijui ni uchoyo tu
 
Sio wachoyo mjini watu wanaishi kwa budget ukija unasema kabisa utakaa mda gani si kuvamia tu kwa watu afu huondoki hizo nguo watazifataga siku nyingine
Hahaaa! Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa napenda sana life style yake kabla hujamtembelea anakuuliza kabisa utakaa siku ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…