Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Hahaaa, wanaganda kama kupeWewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma
Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
Hahaaa, wanaganda kama kupe
Hahaaa, ushauri konki sanaYa nini ujitese waambie ukweli wakigoma badilisha kitasa wakitoka funga afu na wewe potea wiki nzima
Ya nini ujitese waambie ukweli wakigoma badilisha kitasa wakitoka funga afu na wewe potea wiki nzima
So babe nikija dodoma nikutafute hombolo ehWewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma
Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
Ndiooo bebe uje homboloSo babe nikija dodoma nikutafute hombolo eh
😊😊Nipokee mgeni wakoSijawahi.
Na akikaa muda mrefu nitafurahi as napenda wageni.
Awwww karibu sana mama.[emoji4][emoji4]Nipokee mgeni wako