Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

He he, kama hujaoa pole. Sasa hivi utatangaza ndoa kati ya hao wa2
kweli nna mpango wa kuoa lakini hawa si type yngu.

Huyu wa kwanza ni mzuri ila mnene not my type.
Huyu mdogo mtu aliekuja juzi havutii kabisa asee.
 
Anaogopa/wanaogopa kwenye simu unaweza mtafutia sababu ya kumkwepa, ndio maana anastukiza/wanastukiza ugeni
 

hapa nimekuelewa!
 
Hii thread inaonesha ni jins gani siku hizi binadamu hatupendani, yan ukimwona binadamu mwenzio anakuja kwako basi tu unaona kero..
 
Acheni roho mbaya,MTU kaacha yake mangapi kaja kwako,mpenzi kilichopo kama hamna ongezea,mtakosaga malaika huko kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…