TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,211
- 13,053
Mzee mmoja alinunua gari kwa ajili ya daladala, kutokana na tabia ya walimwengu akaenda sumbawanga kutafuta mganga wa kumkinga yeye na gari yake, akapata waganga WA3 akataka kuwaleta dar, wakiwa njian wakapimana nguvu kumuonyesha mzee uwezo mambo yakawa hivi! WA1 akanyoosha kidole juu mvua ya maana ikanyesha akarudia ikaacha, mzee akapagawa, baadae WA2 akakohoa tairi zote zikapata pancha na bado gari mwendo uleule akarudia tena upepo ukajaa, mzee akatangaza ubingwa kwake walipokaribia UBUNGO wote wakiwa na furaha yule WA3 akasema maneno ma5 wakajikuta bado wapo sumbawanga wanaanza safari. nani mkaali.