was njombe
Member
- Sep 8, 2020
- 6
- 9
Tafadhali naomba mamlaka husika kusikia kilio hiki kwa umma. Waganga wa kienyeji kwa hakujua yangu wamesababisha maafa au janga kwa jamii ya Kitanzania na udhalilishaji kwa: watu hawafanyi kazi, Imani za kishirikina na uvivu ulotopea.
Jiji la Dar es salaam mahali ambapo palitakiwa pawe pamenyooka lakini su Mkuu wa Mkoa au anaehusika akipaza sauti kuwa mkoa wangu sitaki kuona bango la mganga wa kienyeji.
Chonde chonde Hawa watu ni hatari kwa jamii wapigwe marufuku. Wamesababisha nchi kuwa nyuma kimaendeleo