Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
TAL yupo Mbele ya Muda, bado AFRIKA na DUNIANI kote wataiga NRNEMaelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani.
Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA.
CHADEMA iko kimataifa!!
Hatua kadhaa mbele!!!TAL yupo Mbele ya Muda, bado AFRIKA na DUNIANI kote wataiga NRNE
hata wakifa wote ,kwani wewe utabaki dunianiKumekucha. Uganda wakifa wachache ni 7000
Sina maana negative, na wala sifurahii vifo vya watu. Mtu kujiuliza ikiwa utaishi milele, ndo mwanzo wa hekima huo.hata wakifa wote ,kwani wewe utabaki duniani
CHADEMA ni jasiri muongoza njiaMaelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani.
Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA.
CHADEMA iko kimataifa!!
Bob winw naye ni muhuni tu tofauti yake na zito ni kuvaa bullet proof tu.Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani.
Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA.
CHADEMA iko kimataifa!!