Waganda waamua nani awe Rais

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
583
leo kuanzia saa moja asubuhi waganda walijitokeza kupiga kura ya kuamua nani ni nani atakuwa Rais wa Uganda kwa miaka mitano mingine pamoja na kuwa na kasoro mbalimbali kama kucheleweshwa kwa masanduku ya kura kuchelewa kufika maeneo ya kupigia kura , mistari mirefu ya wapiga kura lakini waganda haikuwakatatisha kujitokeza kupiga kura na kuamua ni nani atakuwa Rais wao kwa miaka mitano mingine . mimi na wewe tunawajibu wa kuwaombea wawe na uchaguzi wa amani usio na madhara kwa kanda yetu ya Afrika mashariki.
 
Back
Top Bottom