Wafungwa Jela kwa KUFANYA UCHANGUDOA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mahakama ya Sokoine Drive imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha wiki 2 wasichana waliokua wakijiuza.
Wasichana hao ni Aisha Nassoro(20) na Upendo Julius(39),hukumu hiyo ilifuatia baada ya hakimu kujiridhisha na ushahidi kwani mabint hao waliokamatwa maeneo ya Buguruni WALIKIRI kufanya biashara hiyo ya KUUZA MAHABA KWA WANAUME.
Sosi:mwananchi
 
Kuna umuhimu wa kubadili sheria
Swali la msingi la kujiuliza ni asilimia ngapi ya wanaojiuza wanakamatwa na kupelekwa mahakamani
Biashara hii nadhani iruhusiwe tu
OTIS
 
nadhan police wapo biased,wange deal na wateja pia,
kuruhusu sikubalian nawe OTIS
 
Mtu anayeuza mali yake halali anafungwa! Ila wanaouza mali za uma wapo kitaa wanadunda! Hii ni uonevu.
 
Uchangudoa na mambo yanayohusiana nao ni kosa kisheria. DSM ina machangudoa hata saa sita mchana, hususani huko katikati ya mji, maswali ni; je ni wamgapi wamekamatwa? Je vp kuhusu wateja wao? Je kamatamata itakuwa endelevu? Nimewahi kusikia polisi huwafaidi, hivyo kutowakamata.
 
nadhan police wapo biased,wange deal na wateja pia,
kuruhusu sikubalian nawe OTIS

Mkuu usifungwa kimawazo ukasema wasiruhusiwe kwasababu wewe hupendi au imani yako haiungi mkono
Mie ni liberal na napenda kuwapa nafasi wengine waseme na wafanye vile wanapenda la msingi wasivunje sheria wala kuhatarisha amani
Kuna tatizo gani kuruhusu biashara ya ngono? maana sheria hairuhusu lakini watu bado wanafanya tena kwa wingi tu
sheria hii ndio polisi wanaitumia kunyanyasa wachache wasio na uwezo wa kuwahonga
OTIS
 
Hawa wameonewa sana, wanaomiliki madanguro kwa jina la massage clinic hawaguswi.
 
Big up machangu,you not only pleasure men na mnafanya hivo kwenye mazingira magumu, I hope someday life will treat you kind.
 
Kwani weteja si wanaume na huko jela hamna wanaume wakununua bidhaa zao.Sasa huko ndo full kujiachia maaskari magereza mpooo
 
Kuna umuhimu wa kubadili sheria
Swali la msingi la kujiuliza ni asilimia ngapi ya wanaojiuza wanakamatwa na kupelekwa mahakamani
Biashara hii nadhani iruhusiwe tu
OTIS
Na gongo, Bangi, Unga wa kulevya, nk navyo viruhusiwe? Ni wangapi wanavifanyia biashara lakini hawajakamatwa na kupelekwa mahakamani?
 
Uchangudoa na mambo yanayohusiana nao ni kosa kisheria. DSM ina machangudoa hata saa sita mchana, hususani huko katikati ya mji, maswali ni; je ni wamgapi wamekamatwa? Je vp kuhusu wateja wao? Je kamatamata itakuwa endelevu? Nimewahi kusikia polisi huwafaidi, hivyo kutowakamata.

hlo la kutowafaid ni kweli,nimewah kuwasikia kwenye radio station kadhaa wakisema hayo,kwamba police huwaomba rushwa na vikojoleo
 
Mkuu usifungwa kimawazo ukasema wasiruhusiwe kwasababu wewe hupendi au imani yako haiungi mkono
Mie ni liberal na napenda kuwapa nafasi wengine waseme na wafanye vile wanapenda la msingi wasivunje sheria wala kuhatarisha amani
Kuna tatizo gani kuruhusu biashara ya ngono? maana sheria hairuhusu lakini watu bado wanafanya tena kwa wingi tu
sheria hii ndio polisi wanaitumia kunyanyasa wachache wasio na uwezo wa kuwahonga
OTIS

kwa biashara ya NG0NO HAPANA,SIO TU KIIMAN,HATA KIMAADILI PIA
 
OTIS,anataka hata rushwa kwenye chaguz na kwingneko iruhusiwe,kisa watu wanadai na wanatoa,
Na gongo, Bangi, Unga wa kulevya, nk navyo viruhusiwe? Ni wangapi wanavifanyia biashara lakini hawajakamatwa na kupelekwa mahakamani?
 
kwa biashara ya NG0NO HAPANA,SIO TU KIIMAN,HATA KIMAADILI PIA

Kimaadili? Watu kufanya biashara ya ngono ni kinyume cha maadili yapi?
Watu wengi tu ni wateja wa hawa kinadada ila wakisimama wajukwaani wanapinga.
Mapadre wanasema watu watumie condom.umejiuliza zatumika wapi?
Hayo maadili unayoyasema yametufikisha wapi kama taifa
 
wawaache tu hawa viburudisho, wanasaidia wasio na wake kutobaka, zmani kabla ya kuoa walikuwa viburudisho vyangu, maana sitaki kuzungushwa, nipe nikupe raha tupate, teh Teh.
 
Kimaadili? Watu kufanya biashara ya ngono ni kinyume cha maadili yapi?
Watu wengi tu ni wateja wa hawa kinadada ila wakisimama wajukwaani wanapinga.
Mapadre wanasema watu watumie condom.umejiuliza zatumika wapi?
Hayo maadili unayoyasema yametufikisha wapi kama taifa

otis,
acha propaganda mdau,huo uliberal unaouongelea wewe na ku'upromote unau'apply kwa kias gani?
 
Back
Top Bottom