Wafugaji wote na wakulima hili linawahusu

Wafugaji wote na wakulima hili linawahusu

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
2Q==
9k=
P. O. Box 1880, Morogoro
Tel: +255 758 303 090,+255 684 210 277
Email: swahiliwaterworks@gmail.com Website:www.swahiliwaterworks.wix.com
TIN: 121-299-046
MATUMIZIYA SUPER GRO KWA UFUGAJI SAMAKI NA KUKU​
Supergroni kirutubisho bora zaidi kwa ajili ya kurutubisha samaki na kukukinachotengenezwa na bodi ya wanasayansi wa dunia (SAB) chini ya shirika laAfya Duniani (WHO) wakishirikiana na Idara ya Kilimo Marekani(USDA)-UnitedStates Department of Agriculture.
9k=
Super gro

KAZIYA KURUTUBISHA SAMAKI​
Mabwawa ya asili na ya kujengewa kwa sementi ndiyoyanapewa kipaumbele.
MATUMIZIYAKE​

  • Jazabwawa la samaki huku ukiongeza 1m ya Super gro katika kila lita 10 za majiyaliyoko bwawani na uache yajichanganye taratibu.
  • Achamchanganyiko huu wa mbolea ya super grokwa siku 7-10 uenee vizuri bwawani.
  • Oshamchanganyiko huu nje ya bwawa.
  • Sasaweka maji upya na uyaache kwa siku 5-7 na hapo unaweza kupandikiza mbegu zakoza samaki kadri itakavyobidi.Samaki 10,000 elfu kumi kwa bwawa la urefu wa mita20 kwa 40.
FAIDAYA ZOEZI HILI​

  • Inasaidiaukuaji wa plankton bwawani, mwani ambao ndio hutengeneza viumbe vidogo vidogona mimea ambayo ndiyo chakula chasamaki.
  • Inapunguzavifo vya samaki kwa asilimia mia moja na kuondoa uwezekano wa samaki kulasamaki wenzake.
  • Inasaidiamzunguko endelevu wa hewa ya oxygeni bwawani na kupunguza adha ya kubadili majikila wakati.
  • Inapunguzaammonia na kuweka usawa wa helemu ya maji.
  • Inasaidiakwa kiwango kikubwa ukuaji wa samaki na kuanisha usawa katika uzito wa samakiwote walio bwawani.
  • Imeonyeshaufanisi katika mabwawa ya aina nyingi kama la asili,cementi na hyaliyojengwakwa plastiki.
  • Nimbolea isiyokuwa na harufu mbaya na bei nafuu kwa mtumiaji.
KAZIYA KURUTUBISHA KUKU​
Mbolea hii kutoka Kampuni ya GNLD inasaidiakurutubisha kuku katika kukua kwa afya tele huku ikikupa faida kedekede.
​
​
FAIDAZAKE​

  • Inazuiamagonywa hatarishi ya kuku kama fowl pox na cholera.
  • Inazuia kuku kupatwa na baridi na ugonjwa wakweleakwelea.Inazuia kuku kupata magonjwa ya kwelekwelea na baridi pia.

  • Inazuia ugonjwa wa new castle.
  • Inazuiamafua ya ndege (fowl plague).
  • Inasaidiakuku kukua kwa uwiyano unaotakiwa na kuzuia harufu mbaya ya kuku.
  • Inazuiavichwa vya kuku kuvimba.
  • Inapambanavilivyo na magonjwa ya milipuko yatokanayo na kuku wengi.
  • Inazuia kuanguka kwa mayai ya kuku-EGG DROP SYNDROME(EDS).
  • Pia inazuia viroboto na chawa kwa mapana zaidi yavirutubisho vingine.

Wale wa ufugaji bora wa kuku zingatia Hapa elimu hii itakusaidia sana
 
Vipi kuhusu bei na matumizi yake i.e lita tano ni shillingi ngapi na utatumia kwa muda gani kwa bwawa hilo la 20 x 40??

Kwa bwawa la mita 20 by 40 kama utaweka samaki 10,000 wakati kitaalamu ni samaki 16,000 haina madhara hasa kutokana na kunyang'anyana kwa oxygen??

Vipi kuhusu kuongeza vyakula vya supplementary maana kwa kuweka mbolea kama ya kuku hao plankton ndo wanatengenezwa, na hii dawa inafacilitate hawa plankton kukua, sasa ukishatumia hii dawa yenu hakuna haja ya kuongeza tena mbolea bwawani??

Kwa vifaranga wa monosex ie madume pekeyake ambavyo hufugwa mabwawani baada ya kuwapa chemical maalumu, dawa yenu haina madhara??
 
Bei ni elfu Tisini kwa lita 5 na unaweza 1ml of super gro katika kila lita 10 za maji yaliyomo bwawani.
Super gro haina mathara ni purely organic kwa hiyo inayengeneza plankton bila hata kuweka mbolea ya kuku na haiwezi kuleta madhara kwa monosex au madume.
Cha msingi ni kufuata maelekezo uliyopewa
 
kiongozi inaonyesha we ni mzoefu wa ufugaji samaki. kunabwawa liliachwa na wachina wa barabara mwakajana niliweka samaki kama 50, juzi kunawatoto walienda wakavua kwa ndoano wakatoa samaki wa kilo maja na kilo mbili wengisana. sasa nataka kubolesha nita ku PM namba yangu tuongee vizuri
 
Bei ni elfu Tisini kwa lita 5 na unaweza 1ml of super gro katika kila lita 10 za maji yaliyomo bwawani.
Super gro haina mathara ni purely organic kwa hiyo inayengeneza plankton bila hata kuweka mbolea ya kuku na haiwezi kuleta madhara kwa monosex au madume.
Cha msingi ni kufuata maelekezo uliyopewa

Namna ya kuwapatia kuku hujaeleza mkuu.
 
Nasubiri oda zenu kwa 250 ml na litre 5?wakuu,hii mbolea satisfaction guarantee nimewauzia wengi humu
 
Je ipo mbolea ya hivyo kwa ajili ya mimea kama maua, viazi mviringo, nyanya, Vinguu etc?
 
Back
Top Bottom