Aina hii ya mbwa inaitwaje?
angalia picha nilizowekaView attachment 1413423View attachment 1413424
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ya msingi sana mkuuuMsaada kidogo japo nje ya mada.
Mimi natafuta ile mijipaka mikubwa ya kizungu mwenye kujua wanapatikana wapi na kwa bei gani aniambie tafadhali.
Natanguliza shukrani
Wakifungua tushituaneduuh
hebu fungua uzi wa mapaka utapata msaada boss
Wanaitwa Persian CatAhahahaahha
Hapana broo nataka wale wenye manyoya mengi asili za kizungu
Jamaaa anao mbwa wengi sanaKaka Husky wapo moshi kwa natty dogs wanapatikana.
Kuna vyuma giants kama Grey Hound kutoka Zimbabwe. Huyu mbwa anapatikana kwa shida sana. Mbwa wa kuwindia poriniGreat dane ni habari nyingine
Unatakiwa uwape chanjo ya ugonjwa kama Rabbies, Parvo, Corona. Na dawa ya minyooo, dysenteryAisee ni kweli maana wadau tupp wengi so tunaisubiri elimu ya hawa wadudu.Mm sijui nina gundu nao gani maana kila nikifuga wawili waliozaliwa pamoja lazima mmoja afe na hutokea wakifikisha miezi 3 au 4
Yah sema bei zake naona si rafiki.sijui sababu ni rasta anachukulia kila mtu mtalii
Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.Yah sema bei zake naona si rafiki.sijui sababu ni rasta anachukulia kila mtu mtalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na hayo mkuu ila jamaa bei zake mkasi mno kulinganisha na sources wengine wanaoimport breed.Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.
Mkuu tumia power pack inavirutubisho vyote vinavyohitajikaHapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.
Hiyo power pack inauzwa bei gani mkuu na ujazo ni kiasi gani??
Mkuu nakuona ww ni mtaalam na mwenyeji ktk ufugaji wa mbwa,Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.
Achana na Rasta wa Moshi huyu bei yake ipo juuu ndio Kuna mwingine yupo Moshi anajiita Nattydog Instagram yupo Moshi ana vyuma vya hatari sana na bei nzuriYah sema bei zake naona si rafiki.sijui sababu ni rasta anachukulia kila mtu mtalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Nattydog na rasta ni watu wawili tofauti?Achana na Rasta wa Moshi huyu bei yake ipo juuu ndio Kuna mwingine yupo Moshi anajiita Nattydog Instagram yupo Moshi ana vyuma vya hatari sana na bei nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati unasubiria ushauri wa jamaa...Mkuu nakuona ww ni mtaalam na mwenyeji ktk ufugaji wa mbwa,
Naomba kujua chanjo za awali za mbwa kuanzia kuzaliwa.
Halafu kuna jamaa yangu alikuwa na mbwa wake ambaye ni cross ya GS akapandwa na pure GS ss akazaa puppy 5 ila ss baada ya siku 5 mama akafa na kuacha watoto leo wana siku km 8 jamaa inabidi awape maziwa ya ng'ombe kwa bomba la sindano maana ht kuona hawajaanza.Je ubaweza kunshauri nn afanye???cc Steven Nguma
Sent using Jamii Forums mobile app