Haina shida hiyo hutokana na kula majani yalio mabichi sana kikubwa mpe dawa za minyoo na kama ndio mpya hapo shambani kwako kumbuka kumweka Quarantine kwa siku 14 na huku ukimfanyia matibabu stahiki na kumwangalia mabadiliko ya mwili wake. ubarikiwe sana.