Wafugaji, tunahitaji msaada wenu!😀🙏🏾

Wafugaji, tunahitaji msaada wenu!😀🙏🏾

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
Survey Poster_20250903_131205_0005.png

Je, unatumia Fuga App? Tunataka kujua uzoefu wako na jinsi tunaweza kuifanya bora zaidi kwa ajili yako.

Jaza dodoso hili kwa dakika 2 tu na tusaidie kukupa huduma bora zaidi.
👉 [Utafiti wa Watumiaji Fuga App Kwa Wafugaji wa Kuku]

Shukrani kwa kuwa sehemu ya safari ya Fuga – pamoja tunaleta mapinduzi kwenye ufugaji wa kuku! 🚀
 
Back
Top Bottom