Wafufua maiti na kuitembeza mitaani

Wafufua maiti na kuitembeza mitaani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
[TABLE="width: 491"]
<tbody>[TR]
[TD="colspan: 3"]Wafufua maiti na kuitembeza mitaani[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
[TD]
6711370.jpg

Mmoja ya maiti ikipambwa kabla ya kufanyiwa sherehe[/TD]
[TD]Wakazi wa Jimbo la Twaraj Indonesia, wamejiweka utamaduni wa kuwafufua maiti(wafu) na kuwapamba kwa kuwavisha mavazi mapya, kuwachana nywele na kuwatembeza mitaani kabla ya kuwazika tena[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Dunia imejaa vituko na matukio ya ajabu, hilo limedhihirika hivi karibuni huko nchini Indonesia, katika jimbo la Twaraj, wakazi wa eneo hilo wanatamaduni ya ajabu na ngeni duniani, wakazi hao wanawafufuwa maiti kaburini na kuwavalisha nguo mapya za thamani, kuwachana nywele na kuwapamba kamalive walivyokua hai.

Wakazi hao wanakusanyika na kumfanyia sherehe kubwa maiti kabla ya kuanza msafara wa kumtebeza katika mitaa na kumrejesha kaburini alipokuwa amezikwa, wakazi hao wanamini kwamba watu waliyokufa wanahaki ya kuendelea kuishi na kujumuika nao.

katika kufanikisha zoezi hilo la kihistoria ambalo wanaimani kwa lazima kufanya ili kuonesha hishima kwa maiti na kulinda mapenzi ya kweli kwa mtu aliyekufa, kabla ya kumzika maiti anavishwa kitambaa maalum ili kuzuia mwili wa marehemu kuoza.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Aiseeeee hii inatisha vibaya mno yaani sipati picha maiti inatembezwa hapa nillpo nasisimka mwili hasa nilipoiona hiyo maiti hapo juu.
 
nami nilitaka kuuliza hili swali kufufua au kufukuliwa??

kweli dunia ina vituko,
kwa wale wa kilimanjaro hususani kilema wanaelewa kidogo hili jambo

hebu fafanua kidogo juu ya hili la kilema....................
 
aisee! vipi kuhusu ndoto za wanajamii hiyo baada ya matukio hayo? huko hakuna wachawi wala wafu? maana wanaweza fukua kaburi wasiikute maiti!!!!
 
uuuuwi.......naenda rudisha chenji jamani why nimefungua huu uzi mieeeeeeeeeeeeee:help:
 
dear Lord naomba yasinikute nikiondoka, naweza kurudi duniani kama mzimu ili niwatese siku za maisha yao
 
hao huwa wanafufua baada ya miaka kumi kupita wanatoa masalia yale wanayaweka pembeni kwenye shamba

.mh,kilema gan io? Me mwenyej wa uko...cjawah ona wala skia iko k2....mayb enzi na enzi ukooo
 
Indonesia imejaa waisilamu, sasa si huwa tunaambiwa kuifunua tu usoni maiti ni kuidhalilisha?
 
Back
Top Bottom