Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

wote watang'oka ila huyo Manyanya ni Viti Maalum strategy iweje? anyway Majimbo mengi yakichukuliwa naamini na yeye atakuwa hayumo, umesahau Prof.Maji Marefu
Huyu Manyanya 2015 lazima atagombea jimbo fulani. So hata yeye atakutana na nguvu ya Umma
 
Wenje-ubishoo tu hamna jipya naye asirudi,Mnyika analewa sana hana jipya,Lema anavuta sana, Mbowe anatanua sana asirudi,Sugu anavaa kata k tuu hamna kitu asirudi akaimbe tu hiphop uhuni, kifupi wabunge wote wa CDM wasirudi
 
Yani huyu wasira ndo namchukia kupita wote,huyu werema nae uwezo wa kupembua mambo ni mdogo,vle vle hajitambui.
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

MWIGURU
,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

Nawasilisha kwa hoja pana.

Umenisikitisha sana kumsahau JOB NDUGAI kwenye hii list yko...........!!!! Ni technical error au haraka ya ku post?
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

MWIGURU
,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

Nawasilisha kwa hoja pana.

Lukuvi
Job Ndugai
Stella Manyanya
Said Mkumba
Mrema
Cheyo
 
Mi natamani wabunge wote wa ccm wangepigwa chini? maana kazi yao ni kuharibu tu kwa kupitisha bajetizisizo na tija kwa umma
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....

Adam Malima - Ufuska,
Mwigulu LM Nchemba - Ufuska,
George Simbachawene - Ufuska
 
Huyu Manyanya 2015 lazima atagombea jimbo fulani. So hata yeye atakutana na nguvu ya Umma

Kwa mkoa wa Ruvuma (anakotoka) na kwa CCM anayotoka, hawezi kushindana au kumtoa Nchimbi, Komba, Kawawa, na wale jamaa wa Tunduru labda jimbo la Mbiga mashariki (kwa kayombo), nafasi aliyonayo labda agombee huko huko mkoa wa Rukwa.
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

MWIGURU
,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

Nawasilisha kwa hoja pana.
ni kweli mkuu ila hapo red ni mwigulu
 
wabunge wote wa chadema ni wauwaji,juzi apa wameuwa kule iramba,wengine jana hukumu imetoka waliuwa huko igunga,mwingine ambae ndio kinara wao leo anafanya sherehe kufuatia kuzama kwa meli na kuua watu huko zanzibar.watanzania endeleeni kuwapuuza hawa watu wabaya sana.

dhaifu tu hata hujui usemalo
 
Back
Top Bottom