WAFUASI WA MAN U TUKUTANE HAPA KIKAONI

WAFUASI WA MAN U TUKUTANE HAPA KIKAONI

Dalili za kufeli kwa kocha zinaonekana live,pogba na wenzie ni wachezaji wazuri wamethibitisha walipokuwa kombe la dunia. Halafu Zidane yupo pending anaisubiri ofa ya mashetani wekundu muda wowote tutasikia kitu.
umenenaa mkuu
mourinho hapendi kushindwa na kuonekana hajui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom