Mpaka unatamani inaonekana we unajua uzuri au ubaya wa iyo tigo hahahahahahaha vp unaliwa mara kwa mara eeeTulitawaliwa na shetani/mtu mwovu. Bora hata bia tunakula tunafurahi.
Natamani huko kuzimu wamle tigo
Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
kweli kabisa Chief Hangaya is the best kama utani vile Royo Tua imejibu bwana asikwambie mtu , miradi yote ya Magufuli jemedari mwanamke keshaikamilisha na miradi yake binafsi ya kufungua nchi sasa iko na asilimia 200! bado nchi moja ya Russia kuitembelea na kumaliza kuizunguka dunia kama wakina David Livingstone na Henry Morton Stanley walipokutana Ujiji baada ya David Livingstone kutokomea bila kurudisha ripoti ulaya!Samia is the best president so far
Kwa bahati mbaya sina nafasi hiyo Mana tabia za kimama kupenda mtelezo sijajaliwa broo nakula kwa jasho shoga anguNa ww kale kwa mama yako.
Makato ya Tozo ni mazuri kwani hayabagui,,shid nianyaopata tozo hizi zinagarimia perdiems za viongozi serikalini ambazo wamepabsisha kutoka sh 120,000 hadi 250,000 kwa siku..na kufabya budget ya jumla ya perdiems kwa mwaka kupanda kutoka trillion 1.5 mwakajana hadi kufikia trillion 3.4 mwaka huu..Hili gape ya perdiems la trillion 1.9 lilioongezeka ni kubwa hivyo tozo ni muhimu.Hiyo ngonyeza ya DSA Ya waty wa seeikali ingetosha kumaliza maaabata na madarasa mapya au kygahrimia vijiji elf 20 kupata maji safi sa salama
Sukuma gang wanakomeshwaVyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
Hapo tu ndio kosa lake.
Hah hah kwa kweli wanakomeshwa kwani sasa ni mwendo wa kulamba asali.Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).
Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.
Kwa sasa wananunua petroli elfu nne kwa lita moja.
Vile vile wanakomeshwa kwa makato ya tozo za miamala. Hakika watakiona cha moto.
Wakitoa pesa ni kipigo, wakiweka ni kipigo. Raha iliyoje?
Bidhaa wanauziwa kwa bei ya juu kiasi kwamba wanajuta kuwa wafuasi wa bwana yule!
Sisi wafuasi wa Hangaya roho zetu kwatu. Uchumi umefunguka tunaokota hela barabarani.
Ahsante mama. Unaupiga mwingi.
Unataka kutuchinja kama kagame anavyofanya raia wake?Kagame aliitwa Dikteta, but Rwanda Iko wapi?.
Xi Jinping wa China, Leo Uchina upo wapi?
Shida yenu, mmezoea vya kunyonga, Maisha ya Ujanja, hamkuweza kabisa kuendana na nyakati za Magufuli, Vichwa. Mmejaza matope .
Ni wale watoto wa Simbachewane 🤣🤣🤣
Wabunge wa mwendazake waliopita bila kupingwaNdio mana wabunge walipitisha haraka haraka hata bila kujadili
Tuombe radhi tafadhaliHangaya nilikua namuona wa maana kumbe ndio worst afadhari hata ya jiwe mara 1000