Wafuasi wa Magufuli wanakomeshwa

Wafuasi wa Magufuli wanakomeshwa

Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).

Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.

Kwa sasa wananunua petroli elfu nne kwa lita moja.

Vile vile wanakomeshwa kwa makato ya tozo za miamala. Hakika watakiona cha moto.

Wakitoa pesa ni kipigo, wakiweka ni kipigo. Raha iliyoje?

Bidhaa wanauziwa kwa bei ya juu kiasi kwamba wanajuta kuwa wafuasi wa bwana yule!

Sisi wafuasi wa Hangaya roho zetu kwatu. Uchumi umefunguka tunaokota hela barabarani.

Ahsante mama. Unaupiga mwingi.
Hapana tozo ni kwa CHADEMA peke yake
 
CCM ni chama kinachotoa viongozi bora siku zote, tofauti ni kwamba kiongozi huyu anaweza kufurahisha aina fulani ya watu au wapinzani na yule akafurahisha aina fulani ya watu au wapinzani.
 
Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).

Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.

Kwa sasa wananunua petroli elfu nne kwa lita moja.

Vile vile wanakomeshwa kwa makato ya tozo za miamala. Hakika watakiona cha moto.

Wakitoa pesa ni kipigo, wakiweka ni kipigo. Raha iliyoje?

Bidhaa wanauziwa kwa bei ya juu kiasi kwamba wanajuta kuwa wafuasi wa bwana yule!

Sisi wafuasi wa Hangaya roho zetu kwatu. Uchumi umefunguka tunaokota hela barabarani.

Ahsante mama. Unaupiga mwingi.
Sitamani ht kuusikia ule utawala wa lile shetani lenu.
Hata wakituuzia mafuta sh. 10,000 bora tu kuliko kurudia zama za lile dubwana..
 
Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
Mwigulu kaona ni haki yake ukimmegea kidogo
 
Makato ya Tozo ni mazuri kwani hayabagui,,shid nianyaopata tozo hizi zinagarimia perdiems za viongozi serikalini ambazo wamepabsisha kutoka sh 120,000 hadi 250,000 kwa siku..na kufabya budget ya jumla ya perdiems kwa mwaka kupanda kutoka trillion 1.5 mwakajana hadi kufikia trillion 3.4 mwaka huu..Hili gape ya perdiems la trillion 1.9 lilioongezeka ni kubwa hivyo tozo ni muhimu.Hiyo ngonyeza ya DSA Ya waty wa seeikali ingetosha kumaliza maaabata na madarasa mapya au kygahrimia vijiji elf 20 kupata maji safi sa salama
 
Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).

Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.

Kwa sasa wananunua petroli elfu nne kwa lita moja.

Vile vile wanakomeshwa kwa makato ya tozo za miamala. Hakika watakiona cha moto.

Wakitoa pesa ni kipigo, wakiweka ni kipigo. Raha iliyoje?

Bidhaa wanauziwa kwa bei ya juu kiasi kwamba wanajuta kuwa wafuasi wa bwana yule!

Sisi wafuasi wa Hangaya roho zetu kwatu. Uchumi umefunguka tunaokota hela barabarani.

Ahsante mama. Unaupiga mwingi.
Na bado mpaka muokote makopo mbwa nyinyi sukuma gang, dalili za uchizi ndio hizi.
 
Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).

Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.

Kwa sasa wananunua petroli elfu nne kwa lita moja.

Vile vile wanakomeshwa kwa makato ya tozo za miamala. Hakika watakiona cha moto.

Wakitoa pesa ni kipigo, wakiweka ni kipigo. Raha iliyoje?

Bidhaa wanauziwa kwa bei ya juu kiasi kwamba wanajuta kuwa wafuasi wa bwana yule!

Sisi wafuasi wa Hangaya roho zetu kwatu. Uchumi umefunguka tunaokota hela barabarani.

Ahsante mama. Unaupiga mwingi.
Ndio inavyotakiwa hadi wanyooke.
 
Kumbe nawe unakubali kuwa hangaya kachemka hahahaha ila kwa sababu ni chawa umeamua kukomaa tu kumtetea
Wenzio tunapiga pesa,we tahila subiri Samia akuletee ugali nyumbani, unadhani Samia au serikali watakuletea ubwabwa nyumbani
 
Back
Top Bottom