GE2025 Wafuasi wa CHADEMA wasusa kusikiliza kesi ya Lissu baada ya wenzao kuzuiwa kuingia ndani ya Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii.

1758005541739.png

1758005553294.png
Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe kuingia ndani.
Majaji wameingia kwenye ukumbi wa Mahakama kwa ajili ya kesi ya Lissu kuanza

Imebidi Viongozi wote wa Chama na Wanachama wote ambao tayari walikuwa wameshaingia ukumbiki wametoka njee kuonyesha kutounga mkono kitendo cha Polisi kuzuia watu waiingie Mahakanani.

wanachadema waheshimu sheria hii itawaweka kuonekana wenye weledi vichwani mwao
 
Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii.

Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe kuingia ndani.
Hivi Serikali, Polisi, Waendesha mashtaka wakiwa waongo, walio chini yao watajifunza nini
 
Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii.

Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe kuingia ndani.
Majaji wameingia kwenye ukumbi wa Mahakama kwa ajili ya kesi ya Lissu kuanza

Imebidi Viongozi wote wa Chama na Wanachama wote ambao tayari walikuwa wameshaingia ukumbiki wametoka njee kuonyesha kutounga mkono kitendo cha Polisi kuzuia watu waiingie Mahakanani.

Watamkoma mwaka huu😂
 
The Shaking Gorverment- things are falling apart. ....
 
Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii.

Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe kuingia ndani.
Majaji wameingia kwenye ukumbi wa Mahakama kwa ajili ya kesi ya Lissu kuanza

Imebidi Viongozi wote wa Chama na Wanachama wote ambao tayari walikuwa wameshaingia ukumbiki wametoka njee kuonyesha kutounga mkono kitendo cha Polisi kuzuia watu waiingie Mahakanani.

Vyombo vya ulinzi ni rasmi vimevuka mstari mwekundu ,IGp anatakiwa kufikishwa kwenye mahakama za kijinai duniani ,hii sio sawa hata kidogo
 
Back
Top Bottom