Wafuasi takribani 1,000 wa CHADEMA Arumeru wahamia ACT-Wazalendo

Intelijensia ya CDM ni highly sensetive kama CIA ya USA.Huyu Bwana SHAMI aliwahi kuishi kijiji kimoja kimo Wilayani KAHAMA mkoani Shinyanga, kijiji hicho kinaitwa KAKOLA ulipo mgodi wa Dhahabu wa BULYANHULU GOLD MINE.Ndugu Shami alianzisha shule ya Chekechea lkn baadae akaipachika jina la kituo cha kulelea watoto yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu, Ndugu shami kwa kushilikiana na mkuu wa wilaya ya KAHAMA kipindi hicho alituma maombi ya Tsh.200,000,000/= kwenye mgodi wa Dhahabu wa BARRICK BULYANHULU GOLD MINE Ambao sasa hivi unaitwa ACACIA GOLD MINE, kwa kutambua unyeti wa suala la watoto yatima mgodi ulimpa kiasi cha Tsh.80,000,000/=.Baada tu ya kupata Pesa hizo bwana shami alipotelea kusiko julikana na hakuonekana tena pale kijijini KAKOLA na kile kituo kikafa na jengo lake kubadiliwa kuwa ghara la kuvundikia ndizi.Hivyo basi wananchi wa ARUMELU wanatakiwa kuwa makini saaaaaaaaana na huyo kiumbe hafai.
 
Taarifa nyingine ni nzuri sana kwenye vijiwe vya gahawa kule Kigoma.
 
Wewe mtoa mada ni CCM halafu usifikiri kudanganya watu hapa kutabadilisha msimamo wetu,WATANZANIA TUTAMCHAGUA LOWASSA WA CHADEMA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
 

Umemaliza Mmawia vip
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…