Wenye akili ndio watajua sababu za Israel kuzuiya media kwake mtu km ww pengine ungeona kipondo kinachotolewa na Iran usingeandika ayo tatizo umezibwa macho!!!
Ndiomana Israel kafunga media kwake tusijue ya kwake jiongeze
Hivi unajua kwa nn kobaz wanaita malaika mtoa roho ni israeli ..Kaa ukijua tangu kale yule jamaa hacheki na kima na kama unafuturu kwa tende za msaada wa iran jua ndo mwaka huu mwisho mtoa rohWenye akili ndio watajua sababu za Israel kuzuiya media kwake mtu km ww pengine ungeona kipondo kinachotolewa na Iran usingeandika ayo tatizo umezibwa macho!!!
Ndiomana Israel kafunga media kwake tusijue ya kwake jiongeze mkuu!!
Juzi Jumanne, Wairan wamesambaratisha ikulu ya Netanyahu, kuanzia hapo hajaonekana tena akitoa majigambo....Kwann Israel wanazuiya picha km hakuna kipondo¿¿¿¿¿¿¿¿
Sahihi mkuu,Yule jamaa yao anaeongozaga mihadhara dokta Sule kawakataa kobaz wenzake kasema ukweli kua istaeli ni taifa teule iran atakula kichapo hata waarabu wote waungane watachapwa ...haya maneno sio yangu ni ya kobaz sule
Sikiliza madini ya KOBAZ mwenzio hapa akutoe tongotongo.Kama unafuatilia mambo ya kimataifa Israel haikuwa na uwezo hata kidogo wa kuipiga Iran
Israel Inapata kiburi kwa sababu ya kituo cha kijeshi cha marekani kilichojengwa nchini kwake; wabongo wa vivu wa kusoma wanafikiri ni nguvu ya Israel....
Hivi unajua juzi ikulu ya Netanyahu ilisabaratishwa, akaponea chupu chupu na tangu hiyo juzi kajificha sijui yupo kwa matibabu!
Ilani wameteketea, Venezuela wanapumua. Kipi bora?Mkuu Iran sio Venezuela ni suala la mda tu
Tulia ni suala la muda usidanganywe na movie za Hollywood output ya hii vita Kwa marekani na sera zake itamuacha pabaya sana hapo mchina anachekelea tuIlani wameteketea, Venezuela wanapumua. Kipi bora?
Kwamba viongozi wa Iran kufa ni movie za Bollywood? Ngoja nitulie kama unavyosema...Tulia ni suala la muda usidanganywe na movie za Hollywood output ya hii vita Kwa marekani na sera zake itamuacha pabaya sana hapo mchina anachekelea tu
Kwan wameanza kufa leo sio viongoz tu Hadi nuclear scientist lakin hawajabadili chochote ni sawa na kuzima moto na petrol, Persian by nature ni watu wasiokubali kushindwa na wako tayari kufa Kwa kulipigania taifa lao.Kwamba viongozi wa Iran kufa ni movie za Bollywood? Ngoja nitulie kama unavyosema...
Kama wamekamata anga, Mbona B-52 inarusha makombora ikiwa Nje ya anga la Iran?Nimeona political analyst mmoja anahojiwa Al Jazeera anasema vita hii imechukua 4-5 days kwa usa kukamata anga la Iran kwasababu radar ya wairan haizisomi usa 4th-5th generaltion (F-16, F-22 or F-35) planes. Hii inafanya waisrael na usa kujipigia Iran watakavyo. Huyu political analyst anasema ni ngumu kwa iran kushinda
Mkuu pole kwa kujira huu mjadala wengi tumeuchukulia wa kishabiki kwa hiyo hata mtu aeleze facts gani bado watakataaKama wamekamata anga, Mbona B-52 inarusha makombora ikiwa Nje ya anga la Iran?
=====
U.S. Air Force B-52 Stratofortress strategic bombers have been active since the early hours of Operation Epic Fury, targeting Iranian military infrastructure with long-range cruise missiles. Video released by U.S. Central Command shows multiple B-52 aircraft departing on strike missions carrying AGM-158 Joint Air-to-Surface Standoff Missiles, indicating the bombers are conducting precision attacks from outside Iranian airspace. Initial operational reports indicate the aircraft were used during the first 100 hours of the campaign to strike Iranian ballistic missile facilities and command and control nodes, part of a broader effort to degrade Tehran’s missile forces and military coordination capabilities.
sasa arzebaijan imeikosea nini iran? iran inajitengenzea maadui bure tuBinadamu wamejaa unafiki. Mnavyosema Iran katepeta mbona asubuhi ya leo kalipua Airport ya Azerbaijan? Netanyahu anabwata tu!
Sio hazikamati, wayahudi na wamarekani walilipua air defense kabla ya mashambulizi kuanza.Nimeona political analyst mmoja anahojiwa Al Jazeera anasema vita hii imechukua 4-5 days kwa usa kukamata anga la Iran kwasababu radar ya wairan haizisomi usa 4th-5th generaltion (F-16, F-22 or F-35) planes. Hii inafanya waisrael na usa kujipigia Iran watakavyo. Huyu political analyst anasema ni ngumu kwa iran kushinda
Maneno tu hayo, mbona ndege zikitoka route ya Russia na China haziguswi?Wakikamata anga hakuna ndege kishuka au kupaa.. Sasa Iran hiyo misaada ya kivita atatoa wapi? Angepitisha kwa majirani kwa kutumia treni au njia ya barabara tatizo wote kashawashambulia
Ni ally wa US na Israel!!sasa arzebaijan imeikosea nini iran? iran inajitengenzea maadui bure tu