figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Huku Viongozi wa ngazi za Juu wa Iran wakiiangamizwa, nimeshuhudia Mashabiki na wafuasi wa Iran hasa wa dini ile waliopo Tanzania, Wakifurahia na kushangilia picha feki zilizotengenezwa na AI. Wanahisi ni vita ya Kidini.. 🤣🤣🤣
Wanaasema eti sasa hivi Israel imebaki majivu tu na watu kibao Israel wamekufa.. Hahahaaa🤣🤣🤣
Wanasahau kabisa Uongozi wa juu wa Iran washaoza muda huu.
Iran supporters wameweka tumaini lao kwenye fake videos of success sababu akili yao imegoma kukubaliana na reality that they already lost.
Trump kashasema hataki mazungumzo tena... Kilichobaki ni kuwala vichwa Iran. Mmoja baada ya mwingine.