Msikilizeni Maaalim self ndani deutch vele muda huu .Anasema bado anaendelea kufanya Ziara nchi za nje kuifanya dunia iijue kwamba alidhulumiwa. Mzee Anatia huruma
Kuna kitu umejisahaulisha makusudi, Zanzibar pamoja na yoote hayo haina jeshi. Ndio maana JPM alisema atakayeleta fyokofyoko huko Zanzibar atafyokolewa.Mambo ya zanzibar nawaachia wazanzibari wenyewe.Maana kwa mujibu wa katiba ya zanzibar ya 2010 Ambayo Maalimu Seif Mwenyewe alihusika kuitengeneza inasema wazi kuwa Zanzibar ni Nchi na maswala ya uchaguzi ya Zanzibar si mambo ya muungano wala yanayoihusu nchi yeyote.Hayo ni mambo ya wazanzibari wenyewe.
Mtajuana wazanzibari wenyewe na nchi yenu na wimbo wenu wa Taifa.Wazanzibari karibuni muongelee mambo ya nchi yenu sisi watu wa bara hayatuhusu hayo ya uchaguzi wenu wa raisi wenu aliyepo na huyo Seif aliyebwagwa chini huko kwenu nchi ya zanzibar kwa taarifa nilizozisoma magazetini huku kwetu nchi ya Tanzania Bara