Wafu Walio Hai

Mich you Kasie ulikuwa wapi!? Hope you good... Haya mambo yapo lakini ni mpaka yakutokee kwa hakika ndio utaona sio uzushi

Sent using Jamii Forums mobile app

Nipoo uhenga unanipelekesha hata napotea humu.... nimefurahi kusikia sauti yako.

Ukimuona former Sergio De Souz kwa darubini zako mwambie Kasie anakusabahi. Natumai atakuwa ameshafahamu baadhi ya maneno ya kiswahili.
 
Biblia inanena kuhusu hali ya wafu
Matendo 17:11, 5:29

Mwanzo 2:7, 4:10
Ayubu 7:9, 16:22, 27:3, 3:13
Muhubiri 12:5-7, 9:5-6
Hosea 13:14
Isaya 57:1-2, 38:18-19
Zaburi 146:3-4, 115:17, 146:4, 6:5
Ezekieli 18:20
Mwanzo 2:7, 3:4, 19
Habakuki 2:11
Yohana 20:17, 5:28-29, 11:25
1 thesolonike 4:16-17
Ebrania 9:27
Yohana 5:25-28 11:11-14, 6:39, 14:1-3
Yuda 1:9 Ufunuo 20:4-8, 16:5
Torati 18:11
Mdo 2:29,34
1 koritho 15:50-57, 6:2-3
Mathayo 19:28
Luka7:11-16
Yakobo 5:4
 
Ngoja nizipitie hiz

Pirate
 
A living energy (soul) huwa na makazi mawili au matatu
.Hubaki kaburini, pembeni ya mwili... At a blissful state, dhana ya pepo
. hutokea kaburini na kuwa roho ya kutangatanga huku na huko... Dhana ya kuzimu
 
Uko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…