Wafrika tutengeneze/tupende vya kwetu

Wafrika tutengeneze/tupende vya kwetu

Alex jairo

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Mwafrica imefika wakati na sisi tutengeneze dini yetu wenyewe na tuwe na mungu wetu.. Sio kazi yetu kukombatia dini za watu tuuu-na ukizingatia na dini hzo na vitabu vyao vinatutenga- si biblia ya mzungu au koroani ya mwarabu inayomzungumzia mtu mweusi- vyote vinazungumza kuhusu jamii zao,,! Nawalaumu sana mababu zetu kutuacha na mikono mitupu hakuna cha elimu wala imani waliyotuachia, tumebaki kukumbatia tamaduni za watu-ukimwangalia mchina yuko na dini yake. Mhindi yuko na dini yake. Mwarabu pia... ila sisi tu ndio matatizo
 
Kwanini tusianze na sayari yetu huko tukaanzishe jua na mwezi wetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom