WAFASIRI WANDOTO MSAADA tafadhal

WAFASIRI WANDOTO MSAADA tafadhal

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
hivi mtu ukiota unaota ndoto ambayo uliiota
unaota jua wakati unaota usiku wa juzi...!
inamaanisha nini?

NATANGULIZA SHUKRANI🙂
 
Hivi kumbe kuna wakati kiswahili kinakua kigumu kukielewa?
 
Kiswahili ni somo gumu na ukichanganya na hizi shule za kiswanglishi basi tabu tupu. Hatukuelewi mkuu sema na mtabiri na mnajimu wetu wa system sheikh Yahya hatunaye tena.
 
Kiswahili ni somo gumu na ukichanganya na hizi shule za kiswanglishi basi tabu tupu. Hatukuelewi mkuu sema na mtabiri na mnajimu wetu wa system sheikh Yahya hatunaye tena.

sawa mkuu
 
Back
Top Bottom