kwa kweli kodi za mishahara zinawahujumu wafanyakazi, ni kama wizi wa mchana. Serikali imeona sehemu ya kupata pesa za uhakika ni kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi. Yan mfanyakazi anayelipwa kamshahara cha >2m, analipa kodi kuzidi mfanyabishara mwenye turnover ya milioni 30 kwa mwezi. Kweli hii siyo haki kabisaa, nafikiri JK anawatesa wafanyakazi coz anajua wengi wao hawakumchagua. Sasa kama JK hawezi kuongeza mishahara basi apunguze kodi