Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,128
- 33,511
Wasafi media ina shareholders watatu. Kusaga ana share 50+ ambae katika finance huyu ndie mmiliki mkuu wa kampuni. Diamond ana share 40+ na kuna mtu mwingine ambae simkumbuki ndie ana share hizo zingine.SIO kweli KIPIND mondi anaa
anzisha wasafi alikua na bifu na clouds isinge kua simple kusaga KUSUPORT, ila KUHUSU share HAPO SAWA jaPO BADO mondi ndio last say,
Share za Kusaga zipo kwa jina la mke wake. Diamond anawekwa front kwa sababu kampuni imejengewa taswira ya brand image yake lakini sio mmiliki wa wasafi.
Ilo bifu la diamond na clouds ndie fursa ambayo kusaga aliiona akatengeneza wasafi kupitia diamond. Hawa wafanyabiashara tunaofikiri wana bifu si ajabu wenyewe wanakutana uko kwenye viwanja vyao wanagonga mvinyo. Kuna tetesi hata clown media ni ya kusaga. Bifu la kiba na diamond jamaa katumia kama fursa