Tetesi: Wafanyakazi wa Wasafi Radio wamegoma?

Mbona imekuwa mapema sana kuliko ilivyotarajiwa!!?? Ilikuwa ni suala la muda tu hiyo media ife kifo Cha kawaida,hata Domo naye kimuziki ni kama underground tu Kwa Sasa hana mvuto wowote ila ana Force,awekeze kwenye biashara nyingine na asitumie jina lake maana tayari ana gundu la kimavi
 
Mkuu mbona una mfinya hivi mna ugomvi naye?
 
Back
Top Bottom