Wafanyakazi wa Tanesco hasa wanaoinua nguzo za umeme waache matusi

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Wana JF,
Mtakubaliana na mimi kuhusu hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaoinua nguzo za umeme. Kwa kweli wanakera wanakera wanakera. Hivi hwawezi kufanya kazi mpaka waanze kutamka matusi yao tena makubwa ya nguoni.

Mbaya zaidi, si unajua kazi kama hizo zikiwa zinaendelea na watoto wadogo wanakuwepo, matokeo yake wanajifunza matusi kutoka kwa wafanyakazi hao tena ni wakubwa na wana familia zao.

Hivi mnawafundisha nini watoto? Kwa kweli mjirekebishe.
 
Back
Top Bottom