Salaam wadau. Natafuta wafanyakazi wa supermarket iliyopo Kunduchi Ununio. Sifa ni kama ifuatavyo:-
1. Awe anajua kusoma na kuandika.
2. Akijua computer ni bora zaidi.
3. Awe na umri wa miaka 18 mpaka 35.
4. Awe msafi na mkarimu.
5. Akiwa na ujuzi wa kazi tajwa itakua bora pia.
6. Awe anakaa maeneo ya karibu na Kunduchi ili kupunguza usumbufu wa kuwahi.
Kwa mawasiliano zaidi anichek kwa namba 0689900000 au 0715831919