mchambakwao
Member
- Dec 9, 2011
- 77
- 14
Hadi leo baadhi ya watumishi wa serikali hawajapokea mishahara yao ya mwezi Octoba.Tatizo ni nn?
Lakini serikali ilifanya maandalizi kabambe kwa ajili ya mfumo huu mpya, ikiwamo na mafunzo kwa maafisa wake. Mwezi uliopita lilitokea tatizo kama hili, tukaahidiwa kuwa litashughulikiwa na haHeading yako tu misleading, wafanyakazi wa serikali balaa nikafikiri labda wana hela au sijui kuna nini!!!!
Tatizo la wafanyakazi wa serikali kuchelewa kulipwa mishahara ni system mpya inajulikana kama Epicor09 ambayo imezungua songombingo kwa sasa nchini.
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa serikali imefulia na ndiyo maana hata baadhi ya idara mafungu yamekuwa hayaji kama yalivyobajetiwa, sasa sijajua kama hali hiyo imepitiliza mpaka kwenye mishahara.
Vuta subira kaka, watumishi wa serikali wafanye mabadiliko ya mind zao kuanza kupokea mishahara kuanzia tarehe 05 - 10 sasa.