Himidini acha uongo hakuna mtandao mzuri kwa sasa km halotel
Mi natumia na sehemu nyingi inakamata H+
Uko sahihi
Himidini acha uongo hakuna mtandao mzuri kwa sasa km halotel
Mi natumia na sehemu nyingi inakamata H+
Kufail hawawezi blv mi, ila wanabana sn
Mkuu , siongei kwa kokosea! Classmates Wangu ni muajiriwa hapo HQ..!
Anyway, sambazeni vocha kwanza zikitapakaa madukani unitafute sasa..
Wamezoea kulima mpunga,halafu tangumarekani awatwange kwenye ile vita akili zao hazijakaa sawa
OK
Kwann unaona wata fail?
mimi nilisoma UDSM pale UDBS nafanya kazi HALOTEL sijajutia nafanya kazi wilay Moja hivi hapa tz sijajuta kuwa halotel nilizoea boom la chuo now napata salary yangu 450000 posho elfu 90 kwa mwezi nimekosa nini??? . aku mniache na halotel yetu chuki zenu mtajijua wenyewe mnaopandikiza humu JF wengine mpo wafanyakaهzi wa mitandao mingine naona halotel wanawapiku mnaweweseka.... HALOTEL ndio kiboko yao mpaka chunya tupo, urambo, kasulu, ileje n.k chuki ni bure njaa home haipo wife wangu na watoto wana enjoy hata ndg zangu wanaanza kula matunda yangu
Aiseee, we jamaa acha uongo aisee, mie natumia hallotel kwenye internet hamna mpinzani. Tangia wafike hapa tanzania sijawahi kuchukua mtandao mwingine kwenye inetrnet. Hawa jamaa kwa internet wako pouwa kuliko mitandao yooooote.
na kuhusu coverage, jamaa wako katika sehemu kubwaaaa sana, hadi vijijini ambako mitandao hii ya zamani haijafika.
Kuhusu kusumbua mtandao, mie sijaona jamani natumia hiyo hallotel kwa mda wa mwezi na kitu sasa.
Kampuni gani halina ata matangazo kwnye TV na radio ubahi li tupu
Halafu internet yao inasumbua sana.. bando zao zina expire bila faida,Je, haijawa activated?
^^
Himidini acha uongo hakuna mtandao mzuri kwa sasa km halotel
Mi natumia na sehemu nyingi inakamata H+