Wafanyakazi TAZARA huu ni Udhaifu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wafanyakazi WA Tazara upande WA Tanzania waliokuwa ktk mgomo wa kudai haki zao za msingi kabisa,wametishwa na waziri Mwakyembe kuwafukuza kazi na kulazimika kurejea kazini bila hata ya kusikilizwa,huo Ni udhaifu ndugu zetu
 
Back
Top Bottom