FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,876
- 44,926
Huko China wafanyakazi wa benki wapatao 8 wametandikwa bakora mbele ya hadhara....
Source: BBC
Source: BBC
Magu akiisikia hii anaweza kuichukuaSasa na huku kwetu watachapwa lini...??![]()
![]()
Watu wa kitengo watapitia hapa kuchukua dondoo kisha wampelekee mzeeMagu akiisikia hii anaweza kuichukua
Teh teh..Bora nitumbuliwe aisee kuliko kuchapwa bakoraWatu wa kitengo watapitia hapa kuchukua dondoo kisha wampelekee mzee![]()
![]()