Wafanyabiashara ya miti/mbao karibuni tufanye biashara

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,997
Jamani pole na majukumu, nina kaka yangu yeye hajui mambo ya mitandao, Ana shamba kubwa saaana la miti ya pain, ni miti karibia elfu tatu(3000) ambayo unaweza kuvunwa

Ni miti mizuri na ishakomaa maana ina kama miaka 12 Tangia ipandwe,

Kwa wafanyabihashara wa mbao karibu tufanye bihashara
 
uko wapi bei zako zikoje?
 
Pia tangazo lako ungepeleka uko PM sawa
 
Najua pine inavuna kuanzia miaka 8 endapo imepandwa kwa space nzur( haijasongamana) na pia kama shamba lililimwa kabla ya kupanda!
Hiyo ya miaka 10 inafaa kuvunwa kabisa!
Sema shamba liko wapi na unauza bei gani tufanye biashara?
 
Back
Top Bottom