sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Dar es Salaam. Licha ya Bodi ya Sukari Tanzania kutangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo kuwa ni Sh1,800 kwa Dar es Salaam, maeneo mbalimbali jijini inauzwa kwa Sh2,200.
Juzi, Mkurugenzi Mkuu wa bodi hiyo, Henry Semwanza alisema bei hiyo itatumika kwa maduka yote ya rejareja na wafanyabiashara wanatakiwa kuizingatia pamoja na kuendelea kusambaza sukari kwa wingi.
USHAULI WANGU KWA SERIKALI; badala ya kushughulika na bidhaa moja je isingelikuwa bora kuirejesha tume ya bei.........?