Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Halmashauri ya jiji la Arusha imewataka wafanyabiashara wanayomiliki maduka ya halmashauri hiyo kuanza kufungasha mapema na pindi ifikapo machi 30 mwaka huu wawe wameyaachia ili kupisha wenye fedha kuweza kulipa vizuri wapewe..
Ni baada ya halmashauri hiyo kubaini janja ya madalali kumiliki kiasi kikubwa cha maduka na kuyapangisha kwa wafanyabiasha kwa gharama kubwa huku madalali hao wakilipa kiasi kidogo manispaa hiyo.
Mfanyabiashara Morice Makoi anatajwa kumiliki maduka 27 baada ya kukusanya shilingi laki tano hadi nane kwa duka moja kwa mwezi huku yeye akilipa manispaa sh, milion 50 tu kwa mwezi, jambo ambalo halmashauri hiyo chini ya meya Kalist Lazaro umesema itahakiisha inakonesha mara moja na kuwakabidhi wafanyabiashara wengine kwa mfumo wa tenda mwenye kisu kikali ndio mwenye kula nyama.