Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Katika hali isiyo ya Kawaida ,mgambo wa Jiji wamevunja na kuharibu vibanda vyote vya matunda vilivyoko Mtaa wa Serengeti ,opposit kidogo na hotel ya East Africa kama unaelekea Kijenge ukitokea mjini ,karibu kabisa na Round about ya Impala.
Mgambo hao wametoa kila kitu ,huku matunda hayo yakimwaga bila utaratibu maalunu .
Wananchi wanaendelea kulaumu kwa wananyofanyiwa na wanamgomva hao kila kukicha ,wengine wakidai kudhalilishwa.
Eneo hilo ni sehemu ya Chama Chama mapinduzi ! Ni pigo kwa wanachama wa chama hicho ,kudhalilishwa na kuharibuwa biashara zao walizokua wanategemea .
Polebi nyote mliokumbwa na mkasa huo.