Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
ccm na maisha ya watu ni kitu ambacho uwezi kutengenisha, cdm inafanya siasa za kuigiza(impracticable) , wakati ccm automatikik inareflect maisha halisi ya mtanzania, siasa za kulaghai hazina nafasi tena, mabomba kutoa maziwa kila mahali ni siasa za kilaghai na hazina nafasi tena, lets us walk the walk and talk the talk,
Zile Fitna zenu Mlizokua Mnamfanyia Lema na Chadema kwa Ujumla Arusha sasa Ndio zinawarudi na Baado Lazima Mtoke vipande vipande kama gazeti