Au labda ni wazungu maana hata sisi church huko kijijini iliwahi kutokea wazungu walianza kuchezeana kwenye bustani hadi kulegea kabisa sema watu walikuwa wengi wakaacha
Duh kazi kweli kweli dunia imeisha ,watu wanafanya matusi hadharani hiki ni kinyume na maadili, hivi Dar kuna shida gani?
Tatizo ni nini?
Hebu tujuzane wana jf