Wafanya biashara mitandaoni watakiwa kulipa kodi

Ngoja niweke kambi hapa nikisubiri kusoma comment za wachangiaji.
 
niliwahi sikia kwamba mishahara ya wanasiasa haikatwi kodi, hivi ni kweli?
 
Duu kwaio hata kutangaza biashara kwa group mfano wasap n shda saiv
Ila dvt is not overnight process
 
Ndio maana napata msg za private kuhusu biashara humu.
Naona wanakuja kwa njia zingine kukwepa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…