Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

Dah Kilimanjaro imeshine
Chagga imeshine
Jamaa wameweza sana kuwekeza sehem zenye return nzuri
 
Kijijini kwetu asilimia 85 ya wakazi wana hisa kwenye kampuni tofauti tofauti.
Tunaelimishana namna ya kutengeneza faida kubwa bila jasho jingi.
Watu wanakula "dividend" mpaka 50 milioni kwa mwaka kwa mwanakijiji mmoja.
Wewe endelea kupiga umbeya,wenzako wanapiga hela.
Vp Wana wagawia hizo pesa uko KLM.sifa zingine za kijinga tu
 
Washamba wanakuja kulinganisha wachaga na wakinga.
Tuchukue group la wachagga wanao uza nguo kariakoo alafu tuwalinganishe na wakinga.
Wachagga wamedervesify economy japo siyo issue nzuri kuegemea ukabila kwenye nchi yetu, but our last ruler did such to us.

Mpaka sasa wachagga tukiwaona wasukuma tunamkumbuka jamaa hii sio vema kwa nini ukabila uwepo hii kitu ya ukaskazini na ukanda waziwa not fair.
 
Back
Top Bottom