Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

Wanefili ni nani? wanefili maana yake ni majitu makubwa, hawa majitu kama Goliathi, Ahimani, sheshai, Talmai, Safu, Lahmi nk walijulikana katika agano la kale.

Hawa walikuwa ni wanadamu waliozaliwa kutokana na mahusiano ya kimapenzi kati ya wana wa Mungu na binadamu, wana wa mungu hawa walikuwa ni malaika walioanguka(mapepo) ambao walioa wanawake binadamu waliwapata kwa nguvu za giza za mapepo hayo uhusiano huu ulisababisha kuzaliwa watoto Wanefili (MAJITU MAKUBWA) mwanzo 6:4.

Wanefili walikuwa kizazi kikubwa sana cha mashujaa maarufu ambao walifanya vitendo vya uovu mkubwa sana. Ukubwa na nguvu zao ulitokana na mchanganyiko wa chembe za damu ya mapepo na binadamu.

Hata hivyo kizazi hichi kiliangamizwa na gharika wakati wa NABII NUHU

View attachment 411514View attachment 413488 View attachment 413489 View attachment 413491
Kuna kitu sijakielewa kama kizazi cha wanefili kiliangamizwa kwenye Gharika Je hao kina Goliath walitoka wapi? Biblia inaonyesha Gholiath aliishi baada ya Gharika tena miaka mingi sana
 
Ndo Hivyo Mkuu Giant Ni Watu Warefu Wastani Wenye Maumbile Ya Kawaida Ila Nephilian Ni Majitu Yakuogofya Yenye Miili Na Maumbo Mikubwa Sana Na Walikuwa Tishio Kwa Binadamu Wa Kawaida Miaka Ya Nyuma,unaweza Ukatazama Mfano Wa Picha Hapo Juu
 
nimekupata mkuu
 
Ndiyo maana wakati mwingine natilia mashaka habari za wamarekani kufika mwezi. Ni kwa sababu ninakosa uthibitisho kuwa prove wrong, vinginevyo yawezekana wanatudanganya.
Movie Ndiyo Hufikirika Ila Mambo Ya Nyuma Hurithishwa Kizazi Hadi Kizazi
 
Wanefili ni nani? wanefili maana yake ni majitu makubwa, hawa majitu kama Goliathi, Ahimani, sheshai, Talmai, Safu, Lahmi nk walijulikana katika agano la kale.

Hawa walikuwa ni wanadamu waliozaliwa kutokana na mahusiano ya kimapenzi kati ya wana wa Mungu na binadamu, wana wa mungu hawa walikuwa ni malaika walioanguka(mapepo) ambao walioa wanawake binadamu waliwapata kwa nguvu za giza za mapepo hayo uhusiano huu ulisababisha kuzaliwa watoto Wanefili (MAJITU MAKUBWA) mwanzo 6:4.

Wanefili walikuwa kizazi kikubwa sana cha mashujaa maarufu ambao walifanya vitendo vya uovu mkubwa sana. Ukubwa na nguvu zao ulitokana na mchanganyiko wa chembe za damu ya mapepo na binadamu.

Hata hivyo kizazi hichi kiliangamizwa na gharika wakati wa NABII NUHU

View attachment 411514View attachment 413488 View attachment 413489 View attachment 413491
Jaribu kusoma historia ya hvyo vitabu vizuri hyo habari yote ya mwanzon inaitwa myth, ni story tu za kifikirika ukija kwenye historical evidence haipo.
 
Angalia mabaki ya Dinosaurs ambapo kuna mada hapa Bungeni Tz wairudishe Mabaki ya Mjusi yaliyochukuliwa na Ujerumani........Kwa uhakika zaidi if it myth or real
 
Wanefili ni nani? wanefili maana yake ni majitu makubwa, hawa majitu kama Goliathi, Ahimani, sheshai, Talmai, Safu, Lahmi nk walijulikana katika agano la kale.

Hawa walikuwa ni wanadamu waliozaliwa kutokana na mahusiano ya kimapenzi kati ya wana wa Mungu na binadamu, wana wa mungu hawa walikuwa ni malaika walioanguka(mapepo) ambao walioa wanawake binadamu waliwapata kwa nguvu za giza za mapepo hayo uhusiano huu ulisababisha kuzaliwa watoto Wanefili (MAJITU MAKUBWA) mwanzo 6:4.

Wanefili walikuwa kizazi kikubwa sana cha mashujaa maarufu ambao walifanya vitendo vya uovu mkubwa sana. Ukubwa na nguvu zao ulitokana na mchanganyiko wa chembe za damu ya mapepo na binadamu.

Hata hivyo kizazi hichi kiliangamizwa na gharika wakati wa NABII NUHU

View attachment 411514View attachment 413488 View attachment 413489 View attachment 413491
Haya ndo yalikuwa yakinga mawe hadi kutengeneza milima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom