hujui kitu ndugu hao wachawi mnaosema mnapiga sana vta mnatumia kitabu gani na tucompare kt ya bible na quran wapi kunamafundisho yakuupinga uchwi nakupmbana nao ss tna aya kibaozinaeleza wazi uchawi madhara yke najinc yakujilnda vp useme cc htuliangalii hilo ntakupa chache tuimraan3:1-2,ikhlasw,nnas,falaq,al araf7:117-121,yunuss10:81-82,twaha20:69,tawba9:4 na ayanyingi zngne ilanynyi hamsom akili zenu mgndo mnaongea mnachohisi mada ya mambo haya narudia ww hunaujuzi nayo cos nimambo mtambuka ynagusa kilanyanja na inabd author awe nimjuzi ama msomi jaribu tu kuwapm wakina mshana jr,mzizi mkavu rankims na wngne watkupa muongzo cc wngne simabingwa wakupost ilatumebobea kwny ilmu hzo saweww ukijahapa nathread ya aina hiyo hlfu inamaudhui mengine cc hatuwz kukausha tutakuchana tu.hoja mbna wachawi hawaanguk micktn huo niutoto hakna asiejua aina yamaknisa yakiroho ufnyji waowaharkt swali jpes mbna hawaanguki kweny maknisa ya kiroma,anglikna na ruthlani inamana kule yesu hayupo hebu jfunze kuwa na heshma ya maoni ndugu
tatzio wew wataka sikia kuwa mimi nilikuwa mchawi au mganga....? anyway lets skip that part.
kama wew ni mkristo mkuu, chalenge upande wa pili wa shilingi
Napenda facts and envidence nothing personal. Huwez nenda argue na watu wenye akili ukawaeleza riwaya zako uki expect wakuchukulie serious.
Its either watakuitikia tu giving u their time au watakuuliza tha same things i'm asking u.
Ushauri:
Look for something more productive. Work hard & Believe God is with you.
Kasome: 1 Thessalonians 4: 11 - 12.
hujui kitu ndugu hao wachawi mnaosema mnapiga sana vta mnatumia kitabu gani na tucompare kt ya bible na quran wapi kunamafundisho yakuupinga uchwi nakupmbana nao ss tna aya kibaozinaeleza wazi uchawi madhara yke najinc yakujilnda vp useme cc htuliangalii hilo ntakupa chache tuimraan3:1-2,ikhlasw,nnas,falaq,al araf7:117-121,yunuss10:81-82,twaha20:69,tawba9:4 na ayanyingi zngne ilanynyi hamsom akili zenu mgndo mnaongea mnachohisi mada ya mambo haya narudia ww hunaujuzi nayo cos nimambo mtambuka ynagusa kilanyanja na inabd author awe nimjuzi ama msomi jaribu tu kuwapm wakina mshana jr,mzizi mkavu rankims na wngne watkupa muongzo cc wngne simabingwa wakupost ilatumebobea kwny ilmu hzo saweww ukijahapa nathread ya aina hiyo hlfu inamaudhui mengine cc hatuwz kukausha tutakuchana tu.hoja mbna wachawi hawaanguk micktn huo niutoto hakna asiejua aina yamaknisa yakiroho ufnyji waowaharkt swali jpes mbna hawaanguki kweny maknisa ya kiroma,anglikna na ruthlani inamana kule yesu hayupo hebu jfunze kuwa na heshma ya maoni ndugu
Vipi kwa wenzetu waislam?au hayo majini na mashetani hayawahusu wao?na kama ndivyo unajifunza nini hapo?au Mungu ni wa walokole tu?au umeelezea upande unaoujua tu?kama ndivyo basi tukubaliane kuwa elimu yako haijakamilika! Huwezi kuzungumzia mti kwa kuainisha tawi moja pekee,nilitegemea utueleze majini na wachawi ni viumbe wa aina gani,wameumbwa na nani,kwa makusudi gani,nk,ila nilichokiona hapo ni promotion kwa walokole mwanzo mwisho,na kwa bahati mbaya zaidi ukweli usiohitaji scientifical proof ni kuwa jamii ya walokole ndiyo moja ya jamii zinazotaabika sana kwa ukosefu wa maarifa wakitanguliwa na jamii ya waaminio ushirikina,Mungu akubariki ili uweze kuzifanyia kazi changamoto hizi na next time uje ukiwa more smart.
jamani msizungumze mambo ambayo huna taaluma nayo kwakuhubiri ulkole umeweza ilauchawi ni zaid yahayo ulosema ndugu upo uchwi wa aina nyng sana na siwote wanakutana ijumaa kwmye vilnge na hakuna jini anaeitwa khairut na kama ulikua hujui wapo wachaw wanatumi hayo hayo makanisa kktania tena huku kwetu kwasiri lkn hukonjelive na humohutumia hyobible kfnikisha baadh ya shughli zao.mm nina elim yakutosha juu ya hayo mambo na nshafika nchinyngi za ulaya mashriki na afrikamaghrib na ucpnde kkrupuka humu jf hivyo vtu vnawajuz wake sio umekremsha story zakijjni kwnu unakuja kuletamada usioijua hapa
nyinyi ndo mnajua dini kuliko hao wazamani walioiandika hiyo bible?nyie ni watu waajbu sana nshashuudia walokele wengi wakitaabishwa namaradh yakishrikina namaomb yao kdunda mwisho huangukia kwa waganga wakienyeji au waganga njaa wakiroho kna gwjima nawaupko nakikubwa kinachowasumbua niujuaji haliyakuwa hata hiyo bible ynyewe mm muislam hawanifikii jinsi nnavyoijua na sasa ndowanajikuta kwnye ukrsto hawapo upagni naohawajauingia hapo ndoshtani anapozd kufanikiwa na ile kauli ya mw.mungu inapotimia.SOMENI JAMANI SIO MNAKUA KMAMAGOMBE Mtapata tabu dunian na ukomwendako pia nafuu hakuna
stunna Muhusika anaiweka fimbo hiyo chini, kisha huanza kusoma dua fulani kwa Lugha ya kiarabu fimbo hiyo hunyanyuka
hujui kitu ndugu hao wachawi mnaosema mnapiga sana vta mnatumia kitabu gani na tucompare kt ya bible na quran wapi kunamafundisho yakuupinga uchwi nakupmbana nao ss tna aya kibaozinaeleza wazi uchawi madhara yke najinc yakujilnda vp useme cc htuliangalii hilo ntakupa chache tuimraan3:1-2,ikhlasw,nnas,falaq,al araf7:117-121,yunuss10:81-82,twaha20:69,tawba9:4 na ayanyingi zngne ilanynyi hamsom akili zenu mgndo mnaongea mnachohisi mada ya mambo haya narudia ww hunaujuzi nayo cos nimambo mtambuka ynagusa kilanyanja na inabd author awe nimjuzi ama msomi jaribu tu kuwapm wakina mshana jr,mzizi mkavu rankims na wngne watkupa muongzo cc wngne simabingwa wakupost ilatumebobea kwny ilmu hzo saweww ukijahapa nathread ya aina hiyo hlfu inamaudhui mengine cc hatuwz kukausha tutakuchana tu.hoja mbna wachawi hawaanguk micktn huo niutoto hakna asiejua aina yamaknisa yakiroho ufnyji waowaharkt swali jpes mbna hawaanguki kweny maknisa ya kiroma,anglikna na ruthlani inamana kule yesu hayupo hebu jfunze kuwa na heshma ya maoni ndugu
Vipi kwa wenzetu waislam?au hayo majini na mashetani hayawahusu wao?na kama ndivyo unajifunza nini hapo?au Mungu ni wa walokole tu?au umeelezea upande unaoujua tu?kama ndivyo basi tukubaliane kuwa elimu yako haijakamilika! Huwezi kuzungumzia mti kwa kuainisha tawi moja pekee,nilitegemea utueleze majini na wachawi ni viumbe wa aina gani,wameumbwa na nani,kwa makusudi gani,nk,ila nilichokiona hapo ni promotion kwa walokole mwanzo mwisho,na kwa bahati mbaya zaidi ukweli usiohitaji scientifical proof ni kuwa jamii ya walokole ndiyo moja ya jamii zinazotaabika sana kwa ukosefu wa maarifa wakitanguliwa na jamii ya waaminio ushirikina,Mungu akubariki ili uweze kuzifanyia kazi changamoto hizi na next time uje ukiwa more smart.
Uchawi hauna dini wala kabila, ni universal , kila jamii ktk nyakati tofauti mpk leo hii wanaendelea Ku practice uchawi, lugha tofauti hutumika kwa jamii tofauti zenye ku practice uchawi. Wazungu in Dark ages walitumia kiarabu ? Refer magic spells casted by Harry Potter. Unajifunza nini ktk zile spells? Ile ni lugha ipi?
Ahahaha ulitecomment hapa unahitaji maombi ,sasa kama wewe unafahamu kuzidi yeye share nasi,na utuambie je wachawi nini kinawafanya waanguke au waokoke na wakikemewa kwa jina la Yesu wanashindwa kweki?jamani msizungumze mambo ambayo huna taaluma nayo kwakuhubiri ulkole umeweza ilauchawi ni zaid yahayo ulosema ndugu upo uchwi wa aina nyng sana na siwote wanakutana ijumaa kwmye vilnge na hakuna jini anaeitwa khairut na kama ulikua hujui wapo wachaw wanatumi hayo hayo makanisa kktania tena huku kwetu kwasiri lkn hukonjelive na humohutumia hyobible kfnikisha baadh ya shughli zao.mm nina elim yakutosha juu ya hayo mambo na nshafika nchinyngi za ulaya mashriki na afrikamaghrib na ucpnde kkrupuka humu jf hivyo vtu vnawajuz wake sio umekremsha story zakijjni kwnu unakuja kuletamada usioijua hapa
usisahau na net pia usije dungwa na mbu ukapata maleria yesu hatohusika hapo kwa uzembe wakoNdiyo maana Mimi huwa ninalala na biblia
foxyizafa tatizo lako unashindwa kutofautisha mlokole na muumini wa kawaida si kila mtu anaeenda kanisani basi ukajua ni mlokole,kingine hao watu unaowaita waganga njaa haohao pamoja na ugangaji njaa wao lakini wanawafanya watu wanaokoka ndio maana hata wew kama unataka kujua wanalindwa na nani nenda kwa mganga yoyote mkubwa au kama unamajini jaribu kumrushia mmojawapo wa hao waganga njaa ili asiwapoteze watu au asiwaritadishe hata baadhi ya waumini wenu pia afu ndo utajua kama ni mganga njaa kweli au ni nguvu za Mungu ziko ndani yake,unajua tatizo lenu nyie mnaanza kukaririshwa mapema bila kuelewa na haya ndo madhara yake sasa