Wafahamu Men in Black (MiB)

Wafahamu Men in Black (MiB)

Ila mkumbuke mtu mweupe hapotezi muda wake, pesa yake na kuumiza akili yake kukutolea movie ambayo hai reflect uhalisia wa kuwepo anachokionesha.
Hats zile za Simba anaongea,anajadiliana na swala mithili ya binadamu.Tuelewe vingine ni entertainment tu
 
Achana na hao bora ufikirie Men In Green wanavyotufanyia nchini hahah
 
Unaleta movie kwenye uhalisia Kwahiyo na wale avengers ni watu harisi eti? Kina Spider-Man na wenzake zile ni sci-fi haina uhalisia ni kitu cha kutunga kichwa the same kwa hizo UFO na maeliani yao ni just America propaganda za area 51 uongo mtupu
 
PART 1; MEN IN BLACK.(MIB) Men in black ,hawa ni wanaume wenye kuvaa suti nyeusi ambao ni Agent wa serikali ,wanao fanya kazi ya kuzuia usambazwaji wa taarifa/siri zenye ushahidi kuhusiana na habari za UFOLOGY(Unidifined flying object) alien na viumbe vingine vya ajabu ambavyo vinatumiwa na serikali hizo..na hii ishu ya uwepo wa hawa men in black iligunduliwa miaka ya 1950-1960.
MEN IN BLACK hawa ni aliens wenyewe ambao wanajivesha katika muonekano wa kibinadamu ili kusudi wasionekana na binadamu katika muonekano wao hasilia..pia Men in black mda mwingine wamekuwa wakitajwa kama watu wasio julikana ambao wanafanya kazi katika shirika lisilo julikana na usichokijua hawa men in black wana nguvu sana ,pia muonekano wao ni wakutisha kwasababu sio viumbe wa kawaida... hawa wanafanya kazi pamoja na serikali ambazo zina shirikiana na alien katika kutimiza malengo yao hivyo hawa wana fanya kazi kuzuia ushaidi wowote unao husu uwepo wa alien katika tukio fulan na kama endapo mtu ukabahatika kushuhudia tukiofulan linalofanywa na aliens na endapo ukataka kutoa siri hiyo hawa Men in black wana kupa onyo usitoe na endapo ukatoa siri basi utakufa.. mnamo mwaka 1947 --Horald dahl huyu ndie mtu wakwanza kugundua uwepo wa Men in black,alikuwa ni Rubani wa marekani na alikuwa akifanya kazi katika maury island ndipo alipo sema aliona UFO sita angani kisha zika potea sasa alipo kuja kulizungumza azaran anasema alitokewa na wanaume 3 waliokuwa na muonekano wa ajabu ,macho yao yalikuwa kama balbu nyeusi,sura iliyo komaa na ngozi ngumu wakiwa wamevaa suti nyeusi..ambapo walimpa onyo asitoe usha hidi wowote kuhusu tukio hilo la Alien..lakin horald dahl hakuacha ndipo alipotoa kitabu chake " Maury island" ambacho kilikuwa kina husu ushahidi uwo wa uwepo wa alien na pia aliongelea kuhusu uwepo wa watu ambao wanazuia ushaidi kuhusu uwepo wa alien ambao ni MEN IN BLACk..na haikupita miaka mingi hiyo story kuhusu uwepo wa MEN IN Black ilipo take over duniani ndipo miaka michache badae Horald dahl alipo fariki inasemekana aliuliwa na hao Men in black bada ya kutoa ushahidi uwo pia john heel huyu ni mtafiti wa mambo ya UFO yeye alisema hawa MEN IN BLACK ni ITAENDELEAView attachment 1237487
Mkuu movie zimekuathiri sana aisee. Mengine mule kwenye movie za will smith ni fiction tu
 
Back
Top Bottom