moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,366
- 4,970
You are wrongFreemason sio wachawi ni umoja wa watu wanaoshirikiana kiuchumi lakini wakiongozwa na shetani
You are wrongFreemason sio wachawi ni umoja wa watu wanaoshirikiana kiuchumi lakini wakiongozwa na shetani
zero brainJackline wolper si alisema yupo freemason?
Harmonize mnuachaje yupo freemason inajulikana.
List iendelee.
Kuna majini wema na wanafanya ibada kwa mola kuliko hata wewe binadamu.We ni mpumbavu usiyeelimika hadi dunia ifikie ukomo wake.
Nani kakudanganya ukiwa Freemasons hufanyi kazi na kujikalia tu kama sanamu?
Kama unapokataa kuwa hakuna uchawi, freemasons, waganga wa kienyeji, washirikina, wanga, mapepo, mizimu na majini utathibitishaje kazi za shetani zinafanyika hapa duniani kupitia hao mawakala wake?
Au unapokataa hakuna Malaika, Roho Mtakatifu, Yesu utaaminije kazi zake Mungu ktk uwepo wake?
Shetani yupo na anafanya kazi kupitia Watu hawa hawa sababu ni Roho Mchafu anaweza kuingia popote ambapo Mtu yu hai.
Unapokataa hayo yote ni sawa na kumfanya Mungu ni mwongo maana ndiye aliyeumba viumbe vyote(vinavyoonekana na visivyoonekana) lkn haupaswi kuuamini uchawi kuwa msaada na wokovu wako ktk maisha yako zaidi ya Mungu pekee.
So ukatuchamba kwanza kenge bukini wewe!!Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww
Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika
1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
Tulikuwa tunakomaDaaah. Ubuyu unatupa na kichambo juu
. Aendelee kupumzika kwa amaniTulikuwa tunakoma
Yani kila nikisoma post za huyu nyau, nalia huku nacheka... Aendelee kupumzika kwa amani