Hizi shobo sasaNiko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila katika kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF sijui tuwaite Jelebrity au sio?!
Unakuta kuna raia umu hata wakicomment nukta watu wanamiminika kureply likes kibao. Kuna haja JF iwatambue hawa watu wapate verification ya account zao. Kuna watu ambao nyuzi zao ndo zinaongoza kwa kupata engagement achana na umaarufu wa uzi wa kula kimasihara.
Naomba niwatambue wafuatao kama watu wa nguvu sana humu jukwaani kutokana na mchango wao kupitia post zao, na ikiwezekana wajipost siku moja moja tuwajue, siku tukikutana nao mtaani tuwabless mbili tatu moyo uelee.
1. MSHANA JR: Namuonaga kama mtu fulani mwenye hekima sana kupitia thread zake, usizipite thread za huyu mwamba kama unataka kupata madini mbalimbali.
2. Mzabzab: Huyu mwamba matusi sana, yuko sana mitaa ya jukwaa la mahusiano kule. Uzi wa jukwaa la MMU bila comment ya huyu mwamba bado sana huo haujaenda mjini.
3. Gentamicine: Kama shabiki wa Chelsea na Simba huwa lazma nipitie jukwaaa la Sports na huyu jamaa anakiwasha sana uko na kutoa za ndani, though anaonekana raia hawamuelewi, mpikaji sana wa data.
4. Robert Heriel: Mzee wakuitwa Taikon wa Fasihi, mwamba anatoa zile ngumu kumeza. Yaani kupitia misimamo yake so huwa siwezi kupita uzi aliyouanzisha huyu jamaa.
5. Rikiboy: Mzee wa uzi wa kula kimasihara, yaan jamaa katoa hit song moja ya kudumu mpaka mwisho wa hii app. Moja ya uzi ambao uko active mda wote, washatokea watumishi na wahubiri wakashindwa kuuzuia.
6: Sky Eclat: Yuko JF since 2012, namuona kama Lady Jay Dee wa humu JF. Huyu madam nawish nimuone yukoje
Toa appreciation zako kwa wana JF wengine unaowakubali, ambao wanafanya vizuri.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115]
TobaaaahBro hadi wewe unadhani mi ni mwanamke???mi kidume....
Mwenye macho....πππ[emoji15][emoji15][emoji15]
Ndiyo hicho nimeona? AU?[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenye macho....[emoji16][emoji16][emoji16]
Nadhani ukifatilia hapo juu nia kama karudi kivingine hahahahahDuh!!!!Nilishangaa ID yake iko banned mda mrefu....
Nitammiss sana Beck..
Ndiyo nimemuona...Nadhani ukifatilia hapo juu nia kama karudi kivingine hahahahah
The Bold mtu flani chuma sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Aliomba aondolewe JF id yake ifutwe moja kwa moja akidai JF imemchosha. Lakini kwa vile kujiondoa/kuondolewa haiwezekani naona aliamua kujiripua kwa kuwaporomoshea mods matusi mazito ya kila aina lengo lake likiwa kula ban ya maisha. Mods hawakupepesa macho na walimpa alichokuwa anakitaka.
HahahahaUmemaliza???...Mxieww
Mke wake ni yupi kwani?Hivi mke wake yupo?
Sema kuna kipindi JF ilikuwa Tamu sana
Kapiga ndumba za kufa mtu memba wote wanamuona ana pointi kinoma, kumbe kawaida tu.Mshana Jr anaroga si kitoto
Atheist Kiranga jamii intelligence huyu mwamba ni mkongwe wa hoja za Atheism kuntu...Niko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila katika kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF sijui tuwaite Jelebrity au sio?!
Unakuta kuna raia umu hata wakicomment nukta watu wanamiminika kureply likes kibao. Kuna haja JF iwatambue hawa watu wapate verification ya account zao. Kuna watu ambao nyuzi zao ndo zinaongoza kwa kupata engagement achana na umaarufu wa uzi wa kula kimasihara.
Naomba niwatambue wafuatao kama watu wa nguvu sana humu jukwaani kutokana na mchango wao kupitia post zao, na ikiwezekana wajipost siku moja moja tuwajue, siku tukikutana nao mtaani tuwabless mbili tatu moyo uelee.
1. MSHANA JR: Namuonaga kama mtu fulani mwenye hekima sana kupitia thread zake, usizipite thread za huyu mwamba kama unataka kupata madini mbalimbali.
2. Mzabzab: Huyu mwamba matusi sana, yuko sana mitaa ya jukwaa la mahusiano kule. Uzi wa jukwaa la MMU bila comment ya huyu mwamba bado sana huo haujaenda mjini.
3. Gentamicine: Kama shabiki wa Chelsea na Simba huwa lazma nipitie jukwaaa la Sports na huyu jamaa anakiwasha sana uko na kutoa za ndani, though anaonekana raia hawamuelewi, mpikaji sana wa data.
4. Robert Heriel: Mzee wakuitwa Taikon wa Fasihi, mwamba anatoa zile ngumu kumeza. Yaani kupitia misimamo yake so huwa siwezi kupita uzi aliyouanzisha huyu jamaa.
5. Rikiboy: Mzee wa uzi wa kula kimasihara, yaan jamaa katoa hit song moja ya kudumu mpaka mwisho wa hii app. Moja ya uzi ambao uko active mda wote, washatokea watumishi na wahubiri wakashindwa kuuzuia.
6: Sky Eclat: Yuko JF since 2012, namuona kama Lady Jay Dee wa humu JF. Huyu madam nawish nimuone yukoje
Toa appreciation zako kwa wana JF wengine unaowakubali, ambao wanafanya vizuri.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115]
πππππΎEvelyn Salt mrembo mpenda threesome
Hakuna mambo ambayo ni mazito kuyaelezea kama mambo ya teknolojia.
Mzee CHIEF MKWAWA huwa anaupiga mwingi sanaaa.
Bila yeye huu uzi ni batili